02
Jun

Naona Nazeeka Sasa

Written by Binamu13.com Published in: NEWS, LATEST Comments 7 PDF Pdf Print Print Email Email

 

"Naona Nazeeka Sasa" has just been dropped by Tha Godfather!. The Hermy B produced track features Bongo Flava emcees, Professor Jay and Sugu.

Siku hizi milioni milioni ndo zinaniumiza ubongo, mwanangu atarithi nini nisipokuwa enterpreneugro, naona nazeeka sasa!

Comments
Add New Search
Big Up
Msela Sele 2009-06-09 06:39:16

Yaani vichwa vitatu ktk traki moja, nimekubali mambo yako. Tunasubiri traki
zaidi ukitoka UK.
nimekubali
frank timothy 2009-06-18 10:31:25

mwana we ni mkali zaidi ya wakali yani bado hujafikia kuzeeka ila unanusa 2
kuzeeka mistari imesimama bg up man
Yes Boi u did it!
heri 2009-07-06 10:07:22

Ebwana Big up mzeiya, ngoma imesimama sana wengi tunawaona wanashindwa kuelewa
kwamba umri unazidi songa, kila siku wanatuzuga wako 22 flan wakati tunawajua
toka pumbavu!!
shabani kufakulala 2010-02-12 05:03:26

mambo vp mwana fa kiujumla mimi ni shabiki yako mkubwa ngoma zako zote ni kali
ile mbaya ila toka umtaje mungu kwenye wimbo wa siku macho nikiyafumba ft j dee
hujafanya hivyo tena kwenye albamu zako zilizofata ebu toa trak nyingine ya
kumshukuru mungu.nahitaji fulana yenye nembo ya B nitaipa wapi?.
ni hayo
tu.
shabani kufakulala.
shabani kufakulala 2010-02-12 05:11:38

MWANA FA INAKUWAJE NGOMA UNAZOFANYA NA LADY J DEE ZINAKUWA KALI MFANO ALIKUFA
KWA NGOMA,HAWAJUI.SIKU MACHO NIKIYAFUMBA,NAONGEA NA WEWE KWA NINI ISIWE KWA
WASANII WENGINE NI JDE VP HAPO MTU MZIMA KUNANI.NATAKA FULANA YENYE NEMBO YA B
TUWASILIANE.sabi882002@yahoo.co.uk.
KUFAKULAL A
brother
viane 2010-04-21 01:02:12

mkubwa ukojuu ile mbaya big up
Keep up good job
Maalim Mrisho 2010-04-23 00:59:12

I love your music,I like the way you analyse stuff in your music.You are really
a tanzanian treasure.Keep up Good job.May the blessing of the almight God be
always upon you.
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."